TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

Rais wa serikali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Sayansi ya Afya na Tiba cha Bugando (KUHASA) mkoani Mwanza , Musa Mdede, anadaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha katika tukio linalosadikiwa kuwa ni la utekaji nyara.

Mdede ambaye pia ni mwenyekiti wa Tahasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHILISO), amedaiwa kupotea mda mfupi jana akiwa akijiandaa kwenda kurudisha fomu ya kuomba kutetea nafasi yake katika uchaguzi wa viongozi wa setikalihiyo.

waziri mkuu wa serikali ya Wanafunzi hao, Benjamimni Thomas, alithibitisha Mdede kukumbwa na masaibu hayo na kusema hawakuwa na taarifa zozote kuhusu

0 comments :

 
Top