*BREAKING NEWS*
Ajali mbaya sana imetokea maeneo ya lugalo. Maiti zimetapakaa njia nzima.
Gar lilkuwa linaatoka tegeta (daladala) kwa kasi ikakosa control ikahamia upande wa pili wa wanaotoka mwenge ikagongana na pajero wakagonga magar mengne mawili nyuma kulikuwa na tipa linakuja mbio limesaga magar yote manne.
By Israel Sikajula Joel
0 comments :
Post a Comment