Ronaldo nazario de lima ni mbarazil alieweka rekod ya mabao 15 ktk kombe la dunia mwaka 2006 nchni ujerumani na goli la 15 alilifunga dhidi ya ghana,
Miroslav klose ni mjeruman aliyefikia rekod hyo ya mabao ambapo amefunga goli lake la 15 brazil na ni dhidi ya ghana.
0 comments :
Post a Comment