kimenuka RUCO; wanafunzi wagoma wakishinikiza kupewa pesa za mikopo na kupelekea kuathiri shughuli zote kusimama kwa muda wa masaa kadhaa sasa tangu saa mbili asubuhi!
Hii inatokana na kuchelewa kwa pesa za mkopo (boom) kwaajili ya kujikimu wanafunzi hao, kwani mpaka sasa hawajapata kitu chochote na ugumu wa maisha hausimami.

0 comments :
Post a Comment