UTANGULIZI
Tanzania Loans Society ni tawi zawa la Shirika kubwa nchini
marekani liitwalo Advolticies Power Loans Society (APL Society)
linalo'ongozwa na Rais Barack Obama. Tanzania Loans Society ni tawi
ambalo limeanzishwa mwaka 2012 kwa dhumuni la kutaka kuwasaidia
watanzania ambao wanahali duni (masikini) kwa kumuwezesha kumpatia kila
mtanzania mkopo wa fedha na zawadi ya BAJAJI moja bure kwa kila
mtanzania atakaejiunga na kua mwanachama wa Tawi hili.
Tawi hili lilianzishwa nchini Tanzania baada ya Rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania alipokua katika ziara yake nchini marekani alipata fursa ya kuonana na Rais Barack Obama ndipo alipopewa muongozo na mchanganuo wa shirika la kuwasaidia wamarekani (APL Society) wasiokua na uwezo wa kifedha. Rais Barack Obama alikua na moyo thabit wa kuonesha kujali na akawa tayari kumsaidia Rais Jakaya Kikwete dhidi ya wananchi wake masikini akamshauri kikwete afungue tawi dogo ambalo litakua ni sehemu moja wapo ya shirika la APL SOCIETY ili kuwasaidia watanzania kupata fedha za mikopo.
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho kikwete alikubaliana na shauri hilo la Rais Barack Obama na kukubali kuanzisha tawi zawa la APL Society na kulipa jina Tanzania Loans Society, Rais Kikwete alitia saini ya makubaliano ya wazi nchini marekani na zilitolewa fedha za mtaji wa kuanzishwa kwa tawi hili na jumuia ya madola nchini marekani kiasi cha shilingi billion miatano.
Lakini kutokana na majukumu ya Rais jakaya mrisho kikwete kuwa
mengi hivyo ikawa ni vigumu kwa yeye kusimamia na kuendesha mradi huu
hivyo aliamua kugawa majukumu haya kwa Waziri mkuu wa Tanzania Mh.
Mizengo na Ridhiwani Kikwete ambae ni mtoto wa Rais Jakaya Mrisho
Kikwete pamoja na Bank kuu ya Tanzania (B.O.T) na NMB.
Tanzania Loans Society inawakilishwa na Rais Jakaya kikwete,
inaongozwa na General Manager Mh. Mizengo Pinda na inamilikiwa na Loan
Officer Ridhiwani Kikwete kwa udhamini wa Rais Barack Obama. Lengo la
kuanzishwa Tanzania Loans Society ni kutaka kuwasaidia watanzania wenye
hali ya chini kimaisha
Nifursa kwa kila mtanzania mwenye umri wa miaka kuanzia 18 na
mwenye akili timamu ajiunge na chama cha Tanzania Loans Society ili
aweze kupata msaada wa kifedha.
Tutahakikisha kila mtanzania atakaejiunga na chama hiki kwa kujaza fomu
ya uanachama na akachangia ada ya uanachama Tshs. 84,000 akawa
mwanachama wa Tanzania Loans Society atapatiwa mkopo wa fedha anaohitaji
pia kila atakaejiunga tutampatia zawadi ya BAJAJI bure.
Mtu yoyote anaruhusiwa kujiunga na mradi huu ili kutimiza ndoto
zake unachotakiwa nikua na vigezo vifuatavyo, uwe ni mtanzania, uwe na
akili timamu, uwe umetimiza miaka18 na uwe na kitambulisho cha aina
yoyote ile. Kama unavigezo tajwa hapo unaruhusiwa kujaza fomu na
ukajiunga ukawa mwanachama na kuchukua mkopo wa fedha kiasi chochote
unachohitaji kuanzia laki moja na kuendelea, kila atakaejiunga nakua
mwanachama wetu tutampatia zawadi ya shilingi laki tatu bure.
UTARATIBU WA KUJIUNGA
Kujiunga na ili uwe mwanachama ni Rahisi Sana unachotakiwa ni
kujaza fomu iliyopo Online katika tovuti hii utaiona Link hapo chini ya
kujaza fomu imeandikwa "JAZA FOMU HAPA" katika fomu hii kuna sehemu
utajaza kiasi cha fedha unachotaka ukopeshwe Ukishajaza fomu yote
utatakiwa kuchangia mfuko wa wanachama kwa kulipia ada ya Uanachama
shilingi elfu kumi na tano, ada hii ya uanachama italipiwa kwa njia ya
Tigopesa na M-Pesa katika namba ya muweka hadhina mkuu wa Tanzania Loans
Society ambae pia ni muweka hadhina wa bank kuu ya Tanzania BOT
anafahamika kwa jina la ZAINABU KIKWETE ni mtoto wa Muheshimiwa Jakaya
Mrisho Kikwete namba ya kulipia kwa M-PESA ni 0753 634 487 pia
unaweza kulipia tigopesa katika namba 0659 462 316 jina litatokea
ZAINABU KIKWETE na kwa wateja wa Vodacom M-Pesa wanaweza kulipia katika
namba hiyo hiyo pesa itatufikia. ukishalipia utatumiwa Code namba yako
ya Uanachama na ndani ya dakika30 utatumiwa kiasi cha fedha za mkopo
uliohitaji na utapewa taratibu za upokeaji zawadi yako ya BAJAJI bure
kama zawadi kwa kila mwanachama atakae jiunga.
MAREJESHO YA MKOPO
Marejesho ya mkopo yataanza kufanyika baada ya miezi miwili kupita
kuanzia siku uliyochukua mkopo, utakapopatiwa mkopo utatakiwa ukae miezi
miwili bila kulipia na baada ya hapo utaanza kua unalipia kila mwezi
Tshs. 60,000 (elfu stini) mpaka deni lako lote litakapokwisha na hakuna
riba kwa sheria ya dini hivyo utakachokopa ndicho utakacholipa.
NAMBA ZA KULIPIA ADA NA MAREJESHO
Ada ya Uanachama pamoja na Marejesho ya Mkopo vitalipiwa kwa njia
ya Technologia ya Mobile banking kwa udhamini mkuu wa mitandao ya simu
za mkononi Tigo na VodaCom ili kurahisisha huduma hii. Kwa wateja wa
Tigopesa marejesho yote ya mkopo yatalipiwa kwa Tigopesa kupitia
namba0659 462 316 kwa wateja wa M-PESA watalipia kupitia M-PESA katika
namba 0753 634 487
MAREJESHO YA MIKOPO:
Kila atakaepatiwa mkopo atatakiwa akae miezi miwili (wiki8) kisha baada
ya hapo atatakiwa kuanza kufanya marejesho kila mwezi kwa kulipia kiasi
cha Tshs. 60,000 (elfu stini) kila mwezi mpaka deni lake litakapokwisha
KWANINI UNAJIUNGA ONLINE NA UNALIPIA ADA TSHS.84,000 (ELFU THEMANINI NA NNE)
Hili swali ni muhimu na wengi wanajiuliza wengine wanaingiwa na
hofu kuona fomu zinapatikana Online na kwanini mtu asije ofisini na
kujiunga ofisini? Jibu nikwamba tumefanya hivi kurahisisha upatikanaji
wa huduma hii kwa kila mtanzania kwani ofisi zetu zipo Dar es salaam
makao makuu jirani na chuo cha IFM jengo la Utumishi wa Umma ghorofa
namba 30 floor ya 5. Tumeweka utaratibu huu watu wajiunge Online ili
kila mtanzania apate mkopo kwani sio wote wanaoishi dar es salaam kuna
wengine wanaish mikoani hivyo tungesema wote waje ofisini kuna wengine
watashindwa kufika katika ofisi zetu ndio sababu ya kuwataka watu
wajiunge Online.
JINSI YA KUJIUNGA UPATE MKOPO
Kujiunga ni rahisi sana bofya katika hiyo link ifuatayo hapo chini imeandikwa "JAZA FOMU HAPA" Utaikuta fomu ya kujiunga ijaze.
Powered by Tanzanian Government Co-oparation (c)2012 sponsored by Obama Downs Association (ODA U.S.A Company)
HAWA MAJAMAA NI WAONGO, NILIJARIBU KUMPIGIA HUYO DADA MWENYE NAMBA HIZO SAA NNE USIKU NA AKAPOKEA, INAKUWAJE SIMU YA OFISINI INAPOKELEWA USIKU, AKANIELEZA KUWA OFISI ZAO ZIPO JENGO LA UTUMISHI GHOROFA YA TANO NA CHUMBA NAMBA 30, HAWA NI MATAPELI....
BENKI YA NMB WATHIBITISHA KUWA WAO HAWANA MKATABA NA HAWA JAMAA NA HAWAWAJUI.....SERIKALI CHUKUENI ATUA ZA KISHERIA......TOA MAONI YAKO.
0 comments :
Post a Comment