TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

The Honorable Frederick Sumaye, Prime Minister
picha maktaba
Waziri mkuu msatafu  Frederick Sumaye aungana na UKAWA kwa kutaka Bunge la atiba mpya livunjwe kwa kuwa mchakato hauendi vizuri.
Akifungua kongamano la kuombea katiba na uchaguzi nchini lililoandaliwa na Free Pentecostal Church in Tanzania.. (FPCT) ..amesema
"Pamoja na umuhimu wa kupata KATIBA Mpya, Watanzania tungependa KATIBA itakayo patikana kwa MAELEWANO na MARIDHIANO ya pande zote husika, UKAWA ni sehemu mhimu sana kwenye mchakato huu huwezi kuwapuuza kwa HOJA yoyote ile"
" Kama imeshindikana kuwashirikisha UKAWA ni busara ya MCHAKATO huu ukasogezwa mbele ili tupate KATIBA ya MARIDHIANO."
" Itakuwa ni ushindi BATILI kama tutang'ang'ania kuendelea kutengeneza KATIBA bila kundi KUBWA la UKAWA linaloungwa mkono na wananchi wengi MJINI na VIJIJINI itakuwa ni KATIBA ya CCM na sio KATIBA ya wananchi"

0 comments :

 
Top