![]() |
| Gari likiingiza mzigo wa baiskeli katika ofisi za chama wilayani Kyela |
CCM jimbo la Kyela, waamua kuanza kuwakumbuka wananchi wao kipindi hiki cha uchaguzi baada ya kununua shehena la baiskeli tayari kwaajili ya kuwagawia.
Hii ni chini ya Mbunge Mwakyembe

0 comments :
Post a Comment