Watu wawili wamefariki dunia baada ya kuzama ndani ya ziwa Victoria walipokuwa wanabatizwa na mchungaji Nehemia Upendo wa kanisa la POOL of SILOAM. Wakati wakiendelea na ubatizo wimbi likawapiga na kusababisha watu wawili kupoteza maisha. Hii ni kutokana na kufanya shughuli hizo za kiroho pasipo kuzingatia majira na hali ya hewa!
Home
»
»Unlabelled
»
SAKATA ZIMA LA WATU WALIOKUFA WAKIBATIZWA ZIWA VICTORIA HILI HAPA...
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

0 comments :
Post a Comment