TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749



Dancer wa Nick Minaji ameeleza jinsi alivyo umwa na nyoka aliyekuwa akifanya naye mazoezi kwa ajili ya kutumbuiza kwenye tuzo za  VMAs.

Mwana dada huyo mwenye umri wa miaka 25, aling'atwa na nyoka mwenye urefu wa futi 6. akieleza jinsi ilivyo kuwa alisema kuwa nyoka huyo alikuwa ni wa kwanza kufanya naye mazoezi na alipo mg'ata alibadilishiwa nyoka na kupewa nyoka mwingine.

Alieleza kuwa akiwa ameng'atwa aliufarijika kumuona Nick Minaji akiwa mbele yake na akimpa huduma ya kwanza.

Pia alisema kuwa akiwa katika mazoezi ya kujiandaa na kucheza na nyoka huyo alipewa mda wa kuwa karibu na nyoka huyo wa pili, alisema kuwa kabla hajakutana na huyo nyoka alikuwa anogopa saana lakini ikabidi ajikaze ili asimwogopeshe huyo nyoka. Aliongeza kuwa baada ya kukutana naye huyo nyoka asubuhi alimsalimia kwa kumwita jina lake ‘Hey Rocky, how are you doing?’ alihisi anaongea na binadamu wa kawaida.


0 comments :

 
Top