Serikali imesitisha vibali vya kurusha matangazo ya tiba za asili na mbadala kwenye vyombo vyote vya habari baada ya kugundua kwamba yanapotosha sehemu kubwa ya jamii. Kwa upande wake tabibu Abdalla Mandayi, mkurugenzi wa Kliniki ya tiba asilia amesema kuwa sasa wameshaanza kufanya mikakati ya kutoa taarifa ya kuimarisha kile watakachokuwa wanakitangaza iwapo watapewa tena nafasi ya kurusha tena matangazo yao ili kuzuwiya kuipotosha jamii.
JE UNAONAJE HUU MSIMAMO, COMMENT HAPO CHINI

0 comments :
Post a Comment