Trace TV ni kituo cha TV cha Ufaransa
maarufu kwa burudani ambapo kwa miaka kadhaa sasa hivi kimeendelea
kuchukua watazamaji wapya wapenda muziki kila siku kutokana na ubora wa
muziki unaopigwa na wao, video kali kutoka kila kona ya dunia ambapo leo
kituo hicho ya kimesema hizi ndio video 9 bora za Africa zinazotamba
wiki hii zikiwemo za watanzania wawili (Vanessa Mdee & Diamond
Platnumz).
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment