TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

CCM kimekuwa ndicho chama cha kwanza kuleta na kuibua udini ndani ya nchi hii ili kudhohofisha siasa za watanzania kwa kusingizia kua vyama vingine ndivyo vyenye udini.
1992 Nccr mageuzi, ilipovuma ccm iliwaaminisha watanzania kuwa ni chama cha ccm kwani Mabere na Mrema ni mashushu wa ccm ikafa.

2000 cuf ikaibuka ccm ikasema ni chama cha udini,kinaendeshwa misikitini kikadhoofika.
2005 ccm ikaona cuf imepoteza mwelekeo ikasema Chadema ni chama kizuri hakina uchu wa Madaraka,Mbowe ni mtalii,na pia Lipumba ni mjinga kajiunga kwenye chama cha wapemba wakati yeye ni Mnyamwezi cuf ikasingiziwa kuwa imeingiza majambia yenye alama na bendera za cuf ili kuvuruga uchaguzi.
2010 Dr slaa kupitia chadema akaonekana Mwiba,ukasema nichama cha wakristo,changa cha wachaga,mara kaiba mke,mzinzi,alifukuzwa upadre na mengine mengi! Ccm kwa shida ikapita.
Uchaguzi mdogo Arumeru,Busanda na Igunga ccm iliweks mashine zote kuanzia Kikwete,makamba,Sita,Wassira,Mwigullu,Nape,kinana,Mkapa ikaendesha siasa mfilisi oh
Chama cha wachaga,chama cha ukristo,wameingiza majangili( mungiki) wanakikosi kinaua watu nk
Ccm ikakwama! ikaanzisha sera ya ugsidi chini ya Mwigulu ikakwama.

Uchaguzi wa serikali za mitaa ikajua inapigwa,ikaweka mapingamizi na vituko vingi kupitia kwa wakurugenzi wa uchaguzi ili wagombea wa chadema waengulie kiasi fulani ilifanikiwa.
Lakini hata hivyo ilipigwa( rejea matokeo ya Bukoba, Mwanza, Shinyanga, Mara, Mbeya kwa Mwakyembe, Singida, Arusha, Kigoma, Iringa, Kilimanjaro na Morogoro.
Mwaka huu ilijipanga kuua upinzani ikidhani chadema bado akili mdogo imekwamaa!
Gia aliyoitumia,kubadilishia angani mh.Mbowe subirini

Kwa taarifa yako tu,kipigo kinaanzia chato ( kanda ya ziwa)
Mmepanda mamluki kuvuruga kura za maoni kwa madiwani,mmekwama chadema.
Inakila mashine visible& invisible usiombe,subiri uzinduzi ufike!

Mnamsema Lowassa fiaadi huku mkimpa
* ujumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa,
* Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na Usalama( mwizi aaminiwe hivi?, labda kama ccm ni kichaka cha kufichia wezi sawa,wskitoka wanakuwa wabaya maana watatoa siri)

Kwa ushauri tu,ccm wasitembee na siasa hizi za tajiri mno( wakati wananchi wa kawaida wanajua viongozi wa ccm walivyomatajiri,)
Lowassa fisadi( watz wanajua ndani ya ccm mafisadi papa wamo kumbuka kifo cha Diwani wa ccm pale Kahangara Marehemu Mabina aliyekuwa M/ kiti wa ccm Mkoa na Meya wa jiji la Mwanza)
Mtawaambia nini kama sio wivu,
Lowassa kajenga Makanisa 
Kajenga misikiti
Kasaidia vijana na akina mama,
Unataka afanye nini?
Kama ni utajiri anagawana na wenzake!

Magufuli hata nyumba tu za walimu wenzake pale Sengerema au barabara ameshindwa kukarabati!

0 comments :

 
Top