TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749


Nimefuatilia Hotuba Ya John Pombe Magufuli Kwa Makini Ila Ameniacha Na Maswali. Anasema Inashangaza Pembe Za ndovu Kusafirishwa Na ndege, Inashangaza Polisi Ambao Ni Walinzi Wanavamiwa Na Kuporwa Silaha, Anashangazwa Na Nchi Kukosa Hata Kiwanda Kimoja Kikubwa Cha Kusindika Samaki, Anashangazwa Na Hosipitali Kukosa Dawa Huku Maduka Yaliyo Karibu Na Hosipitali Yana Dawa, Sasa Swali Hayo Maswali Kwanini Asimuulize Mwenyekiti Wake, Kama Chama Chake Kimeshika Dola Toka uhuru Mpaka Leo Hakuna Jipya Yeye Ataweza. Swali Kuna umuhimu Gani Kuichagua Ccm? Kama Yeye Anashangazwa Wananchi Watafanyaje? Mie mwenyewe namshangaa😳😳😳
Kwa maana hiyo analaumu serikali y amwenyekiti wake ambaye ndiye alikuwa msimamizi wa mambo yote hayo yaliyojitokeza ambayo kwake ni kishangazo.
Na anaonyesha dhahili kuwa Kikwete ni kweli serikali ilimshinda na hajaweza hata kidogo kutekeleza ilani ya CCM.

0 comments :

 
Top