Kumekuwa na umati mkubwa saana katika mikutano iliyofanywa na UKAWA kupitia CHADEMA kumtambulisha mgombea wao wa urais, Edward Lowasa na kusaka wadhamini wa kusaini fomu ya urais kupitia UKAWA kwa tiketi ya CHADEMA.
Mikoa iliyobahatika kutembelewa na mgombea huyo ni Mbeya, Arusha, Mwanza na pia nchini Zanzibar.
![]() |
| Zanzibar |
![]() |
| Arusha |
![]() |
| Mwanza |
![]() |
| Mbeya |
Je nini maana yake juu ya uwingi wa watu ambao wamekuwa na hamasa ya kutaka kumpokea mgombea huyo na kumsikiliza katika viwanja mbalimbali walivyokuwa wanahutubia.
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI




0 comments :
Post a Comment