SHERIA inasema SPIKA anaweza kuwa Mtanzania yeyeote mwenye sifa za kuwa mbunge. (Means si lazima awe mbunge)
(2)"Dola" inataka Dr.Tulia awe SPIKA lakini upepo wa Wabunge unavuma kwa Mh.JOB NDUGAI.
(3)Wakati huo huo, SHERIA na KANUNI vinaelekeza kuwa "NAIBU SPIKA" ni SHARTI achaguliwe kutoka MIONGONI mwa wabunge!
(4)Hivyo, Baada ya "Dola" kuona kuwa "lolote linaweza kutokea"na
Dr.Tulia akaukosa ndipo imebidi kwa haraka haraka AFANYWE kuwa "mbunge"!
Mwenendo unaonyesha pengine akaapishwa mapema zaidi kuliko wenzake!!
(5)Kwa kuwa Nafasi ya Naibu Spika iliombwa na "Mh.Zungu" pekee,
nafikiri "NIA YA KUMTEUWA DR.TULIA", iko clear beyond reasonable
doubt!!...
...kwamba akikosa huku, basi atapata huku kwa KIGEZO CHA "GENDER BALANCE"!!
Hii itapelekea kuhakikisha kuwa wakati wote wa mijadala mizito
itakayoigusa serukali, 'Dr.TAM' ndiye atakayepaswa kusimamia shuguli za
Bunge kwa kigezo cha Spika ambaye ni "MWANASHERIA MBOBEZI"!! (Hapa
ukumbuke; Ndugai ni mtaalamu wa mifugo kutoka SUA).
My Take:
0 comments :
Post a Comment