Ligi kuu ya uingereza "Premier League" wameachia logo
mpya itakayoanza kutumika kuanzia msimu ujao wa 2016/17. Msimu mpya na mambo mapya, Ligi kuu ya Uingereza itakuwa "Premier"League" bila ya
mdhamini yoyote kama ilivyozoeleka. Lengo kubwa ni kujitambulisha
wenyewe kama kampuni ya kiushindani.
Alama ya mnyama simba na jina la mdhamini zilikuwa kwenye logo ya ligi hiyo tangu mwaka 1993, kabla ya benki ya Baclays ndio kuwa wadhamini wa kuu wa ligi hiyo.
Uamuzi wa kubadilishi utambulisho wa ligi ulichukuliwa
kama sehemu ya mkataba kati ya klabu za ligi kuu toka mwezi July mwaka 2015 kwa
kutoa alama ya wadhamini kwenye logo ya ligi.
“From next season we will move
away from title sponsorship and the competition will be known simply as the
Premier League, a decision which provided the opportunity to consider how we
wanted to present ourselves as an organisation and competition,”Anadai Mkurugenzi Mtendaji wa Ligi kuu ya Uingereza, Richard Masters.

0 comments :
Post a Comment