Ni mwezi mmoja tu umepita tangu watoe video ya single yao mpya ya
‘Personally’ ambayo ndani yake wamemuenzi mwimbaji staa Michael Jackson
kwa kucheza kama alivyokua akifanya wakati wa uhai wake, lakini ndani ya
hiki kipindi kifupi toka video itoke… wakali hawa wa Nigeria wamefanya
juu chini mpaka video hii ikaifikia familia ya MJ.
Jermain Jackson ambae ni kaka wa Michael Jackson amezungumza,
kawasifia na kuwashukuru P Square kwanza kwa uamuzi wao wa kumuenzi MJ,
ni kitu kilichomfurahisha sana kuanzia kwenye uimbaji na uchezaji ndani
ya video yenyewe, kamalizia kwa kusema P Square ‘all the best, thank you
Home
»
»Unlabelled
»
KAKA YAKE MICHEL JACKSON AKOMAA NA P SQUAR BAADA YA KUMUIMBA KAKA YAKE
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment