MBUNGE WA CHADEMA, JOSHUA NASARI AMEKAMATWA NAPOLISI
Mbunge wa Arumeru Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA Mhe. Nasari S. Joshua amekamatwa na Polisi.
Ni baada ya kupigiwa simu na Issaya Mngulu kuwa anahitajita Polisi na alipofika akaambiwa na RCO kuwa yuko 'under arrest' kwa tuhuma za kushambulia watu huko Monduli na hajaambiwa ni watu gani aliowashambulia...
Nawasilisha...
======
UPDATE:
Nassari ameachiwa baada ya CHADEMA Makao Makuu kuingilia kati lakini kwa masharti kuwa arejee kituoni siku atakayopangiwa kuandika maelezo.
0 comments :
Post a Comment