OptionsShaffih Dauda
Breaking News ! Kamati ya Uchaguzi ya TFF imekata tena jina langu,safari hii wanasema walishanitoa kwa kukosa uzoefu na sikukata rufaa,SWALI: LINI NA WAPI HIYO SABABU YA KUKOSA UZOEFU WALIWAHI KUNITAARIFU?,sababu pekee ninayoifahamu iliyotolewa na kamati ya uchaguzi ilikuwa ni ukosefu wa maadili na wakanipeleka kwenye kamati za maadili. KWELI SIMBA AKIZIDIWA ANAKULA HADI MAJANI...
Home
»
»Unlabelled
»
SHAFFI DAUDA ATOA KILIO CHAKE KWA TFF
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment