TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749



Mwekezaji wa majosho ya Ng'ombe aendelelea kubomoa nyumba za wananchi katika kijiji cha Kikundi tarafa ya Mkuyuni mkoani Morogoro, zaidi ya nyumba 35 tayari zimevunjwa na nyingine kuchomwa moto na kuacha wananchi wakilala chini ya miti kwa kukosa makazi.

Je, nini kifanyike ili haki anayostaili kupata mwananchi anayetakiwa kumpisha mwekezaji ionekane inatendeka?

Funguka hapa maoni yako,

CHANZO: eatv facebook page

0 comments :

 
Top