| moja ya maroboti hayo |
katika mji wa Kinshasa kumekuwa na utofauti kwa upande wa trafiki. Katika mji huo kumewekwa roboti linalo fanana na trafiki na hivo kuongoza magari katika makutano ya barabara
Pia roboti hilo lina uwezo wa kilipoti matukio yoyote yanayotokea na makosa ya barabarani kwa wakati na kiumakini zaidi
hii imesaidia kuondoa tatizo la rushwa kwa matrafiki.
0 comments :
Post a Comment