TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749



 
Mtoto huyo ana miaka mi 4,alikua amefungiwa ndani tangu akiwa na miezi mi 3 na mama yake mdogo,mama yake mzazi alifariki, kwa kipndi chote hcho alikua anamfungia kwnye box na anamtupia chakula humo humo,hakuwahi kupata chanjo ya aina yoyote,
 
Inasemekana mara ya mwisho kuoga ilikua mwaka jana mwezi wa 9,alikua ana jinyea na kujikojolea,Hiyo rangi nyeuc ni taka,amepata ulemavu wa miguu na mikono kwasababu... yakuishi kwenye box hilo.
 
Inadaiwa kuwa mama wa mtoto huyo alikufa kwa H I V ndomana huyo mama ake mdogo alikua anaogopa kuambukizwa.Huyo mtoto amekutwa na kinyesi na alikua anafungiwa ndani bila majirani kujua.
 
Mtoto huyo ana umri wa miaka 4 na anajieleza vizuri.Anataja jina lake na la baba yake na anataja vyakula vyote alivyokua anapewa.Majirani baada ya mtoto kupatwa na kikohozi akawa anakohoa mfululizo nakulia kama mbuzi ndo waka dadisi nakugundua kisha wakatoa taarifa M.kiti wa mtaa tena nackia hata akisafiri huyo mama alikua anamfungia ndani nakumjazia vyakula kwenye box hilo.Inasikitisha sana jamani

0 comments :

 
Top