TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

Saka Bengo Enzi za uhai wake
Mwanafunzi aliye tambulika kwa jina la Saka Bengo, amekutwa amefariki leo saa saba mchana ndani ya chumba chake na chanzo bado hakjafahamka na uchunguz unaendlea
 
Mwanfunzi huyo amekutwa amefariki katika hostel za hall 1 block E rum 110 na alikuwa anasoma UDBS bcom acountng na alikuwa mwaka wa pili.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi...AMINA

0 comments :

 
Top