RAIS mpya wa Malawi Peter Mutharika amesema hakuna makubaliano na Tanzania juu ya ziwa Malawi (Nyasa).
"Hakuna aja ya makubaliano, ziwa Malawi (nyasa) ni mali ya Malawi na itaendelea kuwa mali ya Malawi. Tanzania ilipata nguvu ya kulinga'ang'ania ni kwasababu ya uongozi dhaifu uliokuwepo mwanzo lakini mioyoni mwao wanajua kuwa hata nchi moja ya ziwa hilo si mali ya Tanzania" hayo yalikuwa ni maneno ya Mutharika
katika kampeni zake mwakajana Mutharika aliahidi kulirudisha ziwa nyasa mikononi mwa Malawi ili kukuza uchumi wa nchi hiyo na kutengeneza ajira kwa vijana.

0 comments :
Post a Comment