Kwa taarifa zilizopo mitandaoni ni kwamba basi aina Moro Best la Mpwapwa-Dar limepata ajali eneo la Pandambili siku ya jana.
Katika ajali hiyo watu 17 wafariki dunia na wengine 45 wamejeruhiwa.
POLENI kwa wote mliofikwa na misiba na wale mliojeruhiwa. Mungu awape nafuu!



0 comments :
Post a Comment