Madiwani wawili waliokuwa wa chadema shinyanga sebastian mzuka na zacharia mfuko waliorubuniwa kuwa wajivue chadema kisha wahamie ccm kwa muda ambao atakuwa anajiandaa kuanzisha chama kimpya cha ACT ili wajiunge na wakafanya hivyo mwezi fabruary mwaka huu kwenye ziara ya nape nnauye
Jana wamejitokeza kwenye mkutano wa hadhara wa chadema uliofanyika mkoani humo wakiwaomba radhi wananchi huku wakiwaangukia viongozi wa chadema wawapokee tena na wanajutia kosa lao.huku wakiwatahadhalisha wananchi kukiepuka chama cha ACT kuwa chama hicho kipo kwa maslahi ya ccm kwani wao wamehusika kwenye vikao vya ACT na ccm namna ya kukabiliana na chadema kuelekea 2015


0 comments :
Post a Comment