TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

Breezy likes Riri

Wengi tungependa kujua nini kilichopo kichwani mwa mzee wa ROYAL Chriss Brown dhidi ya Rihana, kama wewe ni mmoja wapo basi hebu angalia kisa hikii...?

Chris Brown alipost instargram picha yake akiwa amejilaza kitandani, shabiki mmoja akaedit ile picha na kumpachika Rihana pale kitandani ili aonekane amelala na Chris.

Baada ya Chris kuiona hiyo picha, akagonga like kuuubwa,.....JE INA MAANA BADO ANAMKUBALI..? hii ni dhahili kuwa anamkubali kwa kuikubali hii picha.

0 comments :

 
Top