TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

Siku ya kwanza tu ya kuanza kazi kwa kocha wa Manchester United amesemakuwa anatarajia kuanza na kikosi ipya na anaweza kuwaacha wachezaji zaidi ya saba. haya aliyasema alipokuwa na kikao na waandishi wa habari.

Wachezaji walio katika hatari ya kuachwa katika timu hiyo ni Nani, Marouane Fellaini, Ashley Young, Shinji Kagawa, Javier Hernandez, Tom Cleverley, Anderson, Wilfried Zaha, Bebe and Nick Powell.





0 comments :

 
Top