Wanamziki wenye uhusiano wa mda mrefu, Jay z na Beyonce, wameingia kweny mgogoromwingine tena wa kindoa, kwa kutaka kutengana. hii imelipotiwa na New York Post, ambao wamedai kwamba Beyonce na Jay-Z wanampango wa kuachana baada tu ya kukamilisha dhiara yao ya Run world tour.
Lakini imegundulika kuwa Rapa Jay Z anafanya kila jitihada ili kuhakikisha wanabaki kuwa wanandoa
Wawili hao walioishi zaidi ya muongo mmoja, wamelazimika kuachana baada ya kumaliza ziara yao ya pamoja chanzo hasa kikiwa ni matatizo ya kiuchumi.
Wanandoa hao wanajaribu kufanya liwezekanalo ili kutengana pasipo kupeana taraka.
Chanzo cha habari kimoja kilisema kuwa ndoa yao imekuwa katika mgogoro kwa mda mrefu na ndipo wakaamua mwaka jana kupata mtoto ili iwe suruhisha la mgogoro wao, huku wakiamini kuwa mtoto atakuwa ni kiunganisho chao na kuacha migogoro, lakini haijasaidia chochote.
0 comments :
Post a Comment