TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749


Asubuhi ya July 18 kutoka Moshi zilitoka taarifa za mfanyakazi wa ndani wa kiume [Houseboy] kumpasua kichwa mtoto mdogo wa darasa la 3 kisha ubongo wake kuamua kuutafuna.

Baada ya kumaliza tukio hilo kilichofuata ni yeye kuukata uume  wake.

Hapa utawasikiliza mashuhuda wa tukio hili pamoja na kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro  wakiliongelea  tukio  hilo  la  kusikitisha.

Bonyeza play kusikiliza.

0 comments :

 
Top