Rapa kutoka kundi la YMCMB (Young Money), ametanguliza picha ya kazi yake inyo tarajia kutoka wiki lijalo, ikiwa ni albamu yakenyingine ya mwaka 2014. Albamu hiyo ameitambulisha kwa jina la ANACONDA.
Albamu hiyo ilitakiwa iachiwe leo, lakini kwa bahati mbaya haikufanikiwa na Nick ameahidi kuwa ataiachia jumatatu ijayo. Nick amejaribu kutumia picha hii ili kujaribu kupata attention za watu kwa kuwa na hamu ya kuisubilia albamu yake ili waone itakuwaje hasa upande wa video.
0 comments :
Post a Comment