Kuna dada leo nilikuwa naongea naye ananiambia yeye anatamani sana aolewe na mzungu kwani ameshaona mambo yafuatayo ambayo a waname wengi wa kibongo hawana, -
Kwanza wanaume wengi wa kibongo anadai wanapenda sana michepuko -Wanaume wengi wa kizungu wana real love japo wana ndoa za mikataba na nasema bora aishi kwa mkataba kuliko kuishi na mwanaume wa kibongo kwa muda mrefu ambaye kila siku hajui real love ikoje.
Pili anadai ameona ndugu zake kibao ambao wameolewa na wazungu wanainjoi maisha kwa kuwa hakuna stree kwa maisha yao.
Tatu anadai wazungu wengi wapo on time(wanaenda na muda)tofauti wa wanaume wengi wa kibongo hawana hata malengo kiufupi nikamuuliza lakini mbona wapo wanaume wa kibongo ambao wana real love akasema asilimia ndogo sana. Wengi wao ni wababaishaji na hawana future au hawana mbele au nyuma.
Je yanaukweli mambo hayoo...?
0 comments :
Post a Comment