Jamaa mmoja amefumaniwa na mke wa mtu huko Mwanza. Mme wa mwanamke huyo alipo wafumania akaamua kumpiga na shoka kichwani mwanaume aliyekuwa akivinjari na mke wake.
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari shoka bado limenasa kwichwani na bado yupo na hajitambui.
Jamaa amepelekwa hospitali ya Bugando.
"mke wa mtu sumu"
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari shoka bado limenasa kwichwani na bado yupo na hajitambui.
Jamaa amepelekwa hospitali ya Bugando.
"mke wa mtu sumu"
0 comments :
Post a Comment