Kuna watu wengi wameamini kwamba Diamond Platnumz amenyoa kipara baada ya kuona hii picha, na wakazidi kuamini hilo kutokana na msemo wake wa "MWENDO WA VIPARA" ukweli ni kwamba Diamond hajanyoa kipara ila ni utundu wa watu katika AdobePS, hapa utaiona picha original ya hiyo iliyochezewa.

0 comments :
Post a Comment