TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

Watu saba wanashikiliwa na polisi nchini Tanzania baada ya mifuko 85 iliyokuwa na vipande vya miili ya binadamu kupatikana jijini Dar es Salaam. Polisi wamesema vipande hivyo ni pamoja na miguu, mikono, vidole, mbavu na mafuvu. Watu waliokamatwa wametajwa kutoka taasisi moja ya mafunzo ya Tiba IMTU. kwakuwa masalia ya viungo vya binadamu vilivyotupwa maeneo ya Bunju yametoka chuo cha udaktari IMTU kilichopo Mbezi baada ya wanafunzikumaliza kutumia kwa mazoezi. Viungo hivi vilitupwa baada ya mukosa pesa za kuteketeza kwenye tanuri maalum. Mwandishi toka BBC, Aboubakar Famau  alifika katika eneo la tukio,,,tazama hapa.....


Source BBC

0 comments :

 
Top