TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

Jeshi la polisi Mkoa wa kipolisi Kinondoni, limefanikiwa kukamata viungo vya binadamu vikiwa kwenye mifuko ya plastiki katika maeneo ya Bunju eneo ambalo ni marufu kwa uchimbaji wa kokoto.

Viungo hivyo vilivyotambulika ni  kama vile miguu iliyokauka na mafuvu ya vichwa vya binadamu huku navyo vikiwa vimekaushwa kama vinavyo onekena hapo chini..

                         

0 comments :

 
Top