TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

   UKOLONI MAMBOLEO

mwenyekiti wa bunge la katiba Samuel Sitta amtaka waziri anayehusika na wizara ya habari aifungie ITV mara moja kuandaa makongamano ya katiba,sitta ameyasema hayo kwenye bunge hilo linaloenmdelea mjini DODOMA muda huu.

oroho,tamaa urafi wa madaraka hofu ya kiutawala ndilo tatizo linalowasumbua ccm na ndo maana utawakuta wanasiasa wenye roho za fisi kama sitta haiwezekani chombo cha habari kinachotoa habari kwa watanzania wajue nini maana ya katiba unasema kifungiwe ili watu wasielewe wewe sitta na chama chako muendelee kuvimbiwa madaraka miaka 50 ya utawala wa ccm jimboni kwako hakuna ata barabara ya lami nasema hivi fungeni hiyo ITV muone kitakachotokea mmetufanya watumwa kwa muda mrefu sasa uvumilivu basi.
mwenyekiti wa bunge la katiba Samuel Sitta amtaka waziri anayehusika na wizara ya habari aifungie ITV mara moja kuandaa makongamano ya katiba,sitta ameyasema hayo kwenye bunge hilo linaloenmdelea mjini DODOMA muda huu.
Uroho,tamaa urafi wa madaraka hofu ya kiutawala ndilo tatizo linalowasumbua ccm na ndo maana utawakuta wanasiasa wenye roho za fisi kama sitta haiwezekani chombo cha habari kinachotoa habari kwa watanzania wajue nini maana ya katiba unasema kifungiwe ili watu wasielewe wewe sitta na chama chako muendelee kuvimbiwa madaraka miaka 50 ya utawala wa ccm jimboni kwako hakuna ata barabara ya lami nasema hivi fungeni hiyo ITV muone kitakachotokea mmetufanya watumwa kwa muda mrefu sasa uvumilivu basi.

Watanzania inabidi tujiulize, Je ni kweli  hawa watu wanalengo la kutengeneza katiba mpya yenye kuleta uhuru wa kutoa mawazo, uwazi na usawa katika jamii....?

0 comments :

 
Top