Mtandao wa Whatsapp sasa unakuwezesha kujua endapo ujumbe utakaotumwa utakua umesomwa au la.Alama za 'Tikki' mbili ambazo sasa hugeuka rangi ya bluu zinamaanisha kuwa ujumbe uliotumwa umepokelewa vyema, na umesomwa tayari.
'Tikki' mbili za bluu zitakaothibitisha kuwa ujumbe umeonekana, hazitaonekana katika ujumbe wa mtu mmoja pekee, bali hata katika mazungumzo ya kinkndi(group Charts) katika mtandao huo.
Huduma hii itapatikana katika vifaa vinavyotumia iOS, Android, Windows, Blackberry, Blackberry 10 na Symbian vifaa.
Whatsapp wamethibitisha hili katika Mtandao wao Rasmi wa Twitter leo asubuhi.
Sasa mfumo huu utaondoa mawali kwa watumiaji wengi ya endapu jumbe walizotuma zitakua zimesomwa au la! Na sasa watumiaji wengi pia wanatazamiwa kupunguza kumradhi za 'sikuona ujumbe ulipoingia' wakati mfumo huu utakapothibitisha ukweli.
Acha maoni yako kuhusu hili katika ukurasa huu, au tembelea ukurasa wetu wa Facebook kwa kuandika facebook.com/izzytz au kupitia twitter @izzytz

0 comments :
Post a Comment