Kijana Mathew Maina ameruka ukuta wa fensi ya Ikulu ya nchini Kenya ili
kumwambia Raisi Uhuru Kenyata kuwa anataka kufanya wimbo ila hana hela,
baadhi ya wasanii maarufu nchini humo wamejitolea kumsaidia.
Unasemaje kuhusu jambo hilo.
KWA HABARI NA BURUDANI ZA KILA SIKU NA UHAKIKA, HAPA NDIO MAHARA PAKE
0 comments :
Post a Comment