Hatimae star wa filamu Bongo Aunty Ezekiel amevunja ukimya wa kwamba ni nani baba wa mtoto wake (Cookie).
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Aunty alionesha mchoro mpya
“tattoo” aliyochora mgongoni ikisomeka jina la mwanae Cookie na mzazi
mwenzie “Dancer” wa Diamond Mose Iyobo.
Mara kadhaa kumekuwa na taarifa na madai mbalimbali, yakikanganya ni
nani hasa baba wa mtoto wa “mbongo muvi” huyo kati ya mumewe Sunday
Demonte na kichuna wake mpya Mose Iyobo.
Kwa mujibu wa tattoo hiyo, imethibitishwa wazi kwamba Iyobo ndiye hasa mlengwa na mmiliki halali wa familia hiyo.
0 comments :
Post a Comment