TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

Mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini Dar es Salaam imewahukumu kwenda jela miaka mitatu aliyekuwa waziri wa zamani wa fedha Bazil Mramba, na aliyekuwa waziri wa zamani wa madini na nishati, Daniel Yona.
Hukumu hii imetolewa baada ya kukutwa na hatia ya uhujumu uchumi matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia serikali hasara ya shilingi bilioni 11.7.
Endelea kufuatilia taarifa zetu kufahamu zaidi.

0 comments :

 
Top