Jenister Mhagama, Waziri wa Nchi, Sera na Uratibu wa
Bunge, ametamka kuwa leo Tar. 9 Julai 2015, Mh. Rais Kikwete hatolivunja
Bunge Badala yake atalihutubia tu, baada ya waziri Mkuu Kulisitisha.
Mh. Mhagama aliendelea kusema, Mh. Kikwete anayo mamlaka hata baadaye kabla na hata baada ya uchaguzi kuitisha kikao cha Wabunge wakati wowote na kulivunja Bunge na kisha kusaini hati ya kulivunja Bunge kwa hiyo Wabunge wote wa sasa wakae standby.

0 comments :
Post a Comment