Miss Tanzania nambari mbili wa mwaka 2006, mlimbwende mwenye mafanikio Jokate Mwegelo achaguliwa kuwa Msemaji wa Kamati ya Miss Tanzania iliyotoka kifungoni baada ya kufungiwa kwa mwaka mmoja.
Kamati hiyo iliyo chini ya kampuni ya Lino International Agency Limited itakuwa na kazi ile ile ya kuratibu, kuendesha na kusimamia shindano la Miss Tanzania.
Maneno ya mlimbwende haya baada ya uteuzi yalikuwa haya -‘Tumekubali na tumepokea majukumu hayo na kuahidi kusimamia kanuni, Sheria na Taratibu za kuendesha mashindano ya urembo ya Miss Tanzania.Tunaomba jamii ya Watanzania watupe ushirikiano pamoja na kutuamini kwamba tunaweza kuisogeza mbele zaidi tasnia hii ya urembo hapa nchini’uyo baada ya kupewa majukumu hayo alikuwa na haya machache- "
Pia wadau na mamiss kadhaa wa zamani wapo ndani ya kamati hiyo;
List nzima ya kamati hiyo hapa 1.Juma Pinto-Mwenyekiti
2.Lucas Rutta-Makamu Mwenyekiti
3.Doris Mollel-Katibu Mkuu
4.Jokate Mwegelo-Msemaji wa Kamati
5.Hoyce Temu-Mjumbe
6.Mohamed Bawazir-mjumbe
7.Gladyz Shao-mjumbe
8.Magdalena Munisi-mjumbe
9.Shah Ramadhani
10.Hamim Hshim-mjumbe
11.Khalfan Saleh-mjumbe
12.Ojambi Masaburi-mjumbe
Kwa upande wa Sekretarieti wajumbe ni hawa;
1.Dr. Ramesh Shah
2.Hidan Ricco
3.Yasson Mashaka
4.Deo Kapteni


0 comments :
Post a Comment