TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

Juu ni Lowasa akichukua fomu na chini ni umati wa wasindikizji wa msafara huo 

Msafara wa UKAWA kuelekea kumsindikiza Lowasa kuchukua fomu

Umati wa wananchi wakionyesha ishara ya kuiaga CCM viwanja vya Biafra

Mwana mama akonesha ujumbe unaotoa uhakika wa ushindi kwa namna yoyote ile.




0 comments :

 
Top