PubLinki ni mtandao wa mawasiliano baina ya Viongozi, Taasisi na Wananchi. Mtandao unatoa nafasi za upatikanaji kwa urahisi taarifa na habri za:
• Ofisi ya Rais
• Ofisi ya Makamu wa Rais
• Ofisi ya Waziri Mkuu
• Ofisi ya Mawaziri na Wizara
• Ofisi ya Bunge na Wabunge
• Ofisi ya Wakuu wa Mkoa na Wilaya
• Ofisi ya Madiwani na Mamea
• Ofisi za Taasisi za Kiserikali
• Ofisi za Taasisi zisizo za Kiserikali
• Pamoja na Taarifa na Matukio mbalimbali ya Muhimu.
SAMBAZA IWAFIKIE NA WENGINE
Tusaidie pia Kushea Taarifa na Kazi Zao
0 comments :
Post a Comment