Msanii wa Bongo muvi Wema Sepetu akimfuta machozi mama kanumba, Flora Mtegoa, baada ya mama Kanumba kuangua kilio alipozawadiwa pesa zakutosha na Wema a.k.a mkwe wake.
Yote hayo yalitokea katika hafla ya uzinduzi wa muvi mpya iliyo andaliwa na Lulu, aliyo itambulisha kwa jina la "FOOLISH AGE" hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Mliman city jijini Dar es salaam.
Kutolewa k
0 comments :
Post a Comment