CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Mbeya kimeingia katika mgogoro na wapangaji wake, ambao hawataki kulipa madeni ya pango kwa madai mali zinazomilikiwa na chama hicho si zao bali wamezipora.
Kutokana na hali hiyo, inaelezwa chama hicho kimeamua kuingia mkataba na Kampuni ya Yono Auction Mart wa kukusanya mapato kwa nguvu kitu ambacho kimesababisha mgogoro mkubwa baina ya uongozi wa CCM Mkoa wa Mbeya na wafanya biashara wa maduka yaliyo katika uwanja wa Sokoine Mkoani Mbeya.
0 comments :
Post a Comment