TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

Photo: RVP NAHODHA MPYA MAN UNITED. 

"Manchester United imeondokewa na manahodha 3 kwa wakati mmoja(Vidic,Rio na Evra). Kwa sasa ni vigumu kupata nahodha atakayeishawishi klabu pamoja na wachezaji. Lakini Robin Van Persie anafaa kuwa nahodha wa Manchester United pamoja nafasi hiyo pia kuwepo Rooney. 
-Bryan Robson. 

Mkongwe wa Manchester United amesema RVP anafaa kuwa nahodha. 

Maoni Yako| Yupi awe nahodha wa Man Utd?

via-Ayo's
 
"Manchester United imeondokewa na manahodha 3 kwa wakati mmoja(Vidic,Rio na Evra). Kwa sasa ni vigumu kupata nahodha atakayeishawishi klabu pamoja na wachezaji. Lakini Robin Van Persie anafaa kuwa nahodha wa Manchester United pamoja nafasi hiyo pia kuwepo Rooney. 

Mkongwe wa Manchester United amesema RVP anafaa kuwa nahodha.Je nini mawazo yako kuhusiana na nani unayeona anfaa kuwa nahodha mpya wa Manchester united.
Tupia comment yako hapa chini kupitia

0 comments :

Top