
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida Mgana Msindai amehukumiwa miaka miwili jela au faini ya 70,000 baada ya kukiri kosa la kusababisha kifo kwa uendeshaji wa kizembe.
-Hii metokea katika Mahakama ya Hakimu mkazi Wilaya ya Manyoni Singida.
KWA HABARI NA BURUDANI ZA KILA SIKU NA UHAKIKA, HAPA NDIO MAHARA PAKE

0 comments :
Post a Comment