Rose
Mhando amesema hana furaha katika maisha ya Ulokole tofauti na
alivyokuwa akielezwa wakati akihubiriwa kuokoka.
Pia Rose aliwaponda
baadhi ya wachungaji kwa kumhukumu kwa maneno ya walimwengu bila kutumia
hekima za kidini.
"Wakati nahubiriwa kuokoka, niliambiwa nitakutana na upendo lakini matokeo yake nimekuwa mtu wa ‘kupigwa mashuti’ tu. Mfano, mtu anakualika kwenye tamasha, kwa bahati mbaya unashindwa kufika na unampa taarifa lakini kesho yake unasikia umetapeli, wameshindwa kuona hata jema moja kwangu? Nafikiria kurudi kwenye dini yangu, naamini nitapata faraja,” alisema Rose. Source:eatv
0 comments :
Post a Comment